Wimbi la Siasa - Kenya kutuma wanajeshi wake nchini DRC - a podcast by RFI

from 2021-04-22T18:34:27

:: ::


Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amesema Kenya imekubali kutuma wanajeshi wake Mashariki mwa nchi hiyo kusaidia katika vita dhidi ya ugaidi, kauli aliyotoa baada ya ziara ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta jijini Kinshasa. Tunajadili.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI