Wimbi la Siasa - Kenya yaendelea kushuhudia mzozo wa kisiasa - a podcast by RFI

from 2018-01-12T09:10:10

:: ::


Kenya imeendelea kushuhudia mzozo wa kisiasa, baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka uliopita. Kiongozi wa upinzani NASA Raila Odinga, amekataa kumtambua rais Uhuru Kenyatta na amesema ataapishwa kama rais wa watu tarehe 30 mwezi Januari mwaka huu. Je, kuna nafasi ya mazungumzo katika mzozo huu.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI