Wimbi la Siasa - Kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Tanzania - a podcast by RFI
from 2021-07-24T11:31:04
::
::
Wiki hii, kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Freeman Mbowe alikamatwa na polisi akiwa mjini Mwanza, akijiandaa kuongoza kongamano la kudai katiba mpya nchini humo. Polisi wanasema wanamshikilia kwa tuhma za kigaidi.
Further episodes of Wimbi la Siasa
Further podcasts by RFI
Website of RFI