Wimbi la Siasa - Kundi la ADF latajwa kuwa la kundi la kigaidi - a podcast by RFI

from 2021-03-11T16:45:28

:: ::


Marekani inasema kundi la waasi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo  la ADF, ni magaidi wizara ya Mambo ya nje ya Marekani ikisema viongozi wa makundi hayo, wanashirikiana kwa karibu na wale wa Islamic State na sasa wamekewa vikwazo.

Victor Robert Wile anangaazia hatua hii katika makala haya.

 

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI