Wimbi la Siasa - Majaji wa Mahakama ya Juu nchini Kenya kuamua hatima ya ushindi wa Kenyatta - a podcast by RFI

from 2017-11-10T10:34:41

:: ::


Mahakama ya Juu nchini Kenya inatarajiwa kuanza kusikiliza kesi za kupinga uchaguzi wa marudio uliofanyika Oktoba 26, 2017 ukidaiwa kuwa haukuwa huru, haki na wa kuaminika. Swali ni je majaji wa mahakama hiyo watafuta tena uchaguzi kama ilivyokua katika uchaguzi wa Agosti 8 mwaka huu ? Makinika na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kupata uchambuzi wa kina.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI