Wimbi la Siasa - Matukio makubwa ya kisiasa mwaka 2017 - a podcast by RFI

from 2017-12-29T08:12:27

:: ::


Mwaka 2017, ulikuwa na mwaka wa kisiasa hasa barani Afrika. Uchaguzi tata nchini Kenya, siasa za Uchaguzi nchini DRC, Gambia kumpata rais mpya, Robert Mugabe kujiuzulu baada ya kuongoza Zimbabwe tangu 1980 na wabunge nchini Uganda kubadilisha Katiba. Tunakukumbusha mambo yalivyokuwa.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI