Wimbi la Siasa - Mgogoro wa Sudan Kusini bado kitendawili hata bada ya kusainiwa kwa mkataba - a podcast by RFI

from 2018-10-03T12:59:04

:: ::


Hali ya Sudan Kusini bado ni tete hata baada ya kusainiwa kwa makataba wa amani wa mwisho wakati huu kukiendelea kushuhudiwa mapigano katika baadhi ya maeneo nchini humo. Je suala la kupatikana kwa amani nchini Sudan Kusini linakwamishwa vipi na nani wa kulaumiwa kama mkataba mpya amani hautatekelezwa? lakini nini mustakabali wa taifa hilo changa? Makala ya Wimbi la Siasa kupitia kwa Mtayarishaji na Mtangazaji wako Victor Robert Wile inakupa picha nzima kuhusiana na Sudan Kusini.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI