Wimbi la Siasa - Mvutano wa wanasiasa nchini Tanzania kudai Katiba mpya - a podcast by RFI

from 2021-07-09T11:13:20

:: ::


Nchini Tanzania, wanasiasa wanaendelea kuzua mjadala kuhusu kuwepo kwa mchakato wa kupata katiba mpya, wakati huu rais wa nchi hiyo rais Samia Suluhu Hassan akisema hicho sio kipaumbele chake kwa sasa.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI