Wimbi la Siasa - Nini maana ya wanawake kuteuliwa kwa ngazi za juu serikalini Uganda? - a podcast by RFI

from 2021-06-10T18:23:10

:: ::


Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amewateuwa wanawake katika nyadhifa za juu serikalini, Nabbanja Nabbanja, akiteuliwa kuwa waziri mkuu,mwanajeshi mustaafu Jessica Alupo, akiteuliwa kuhudumu kama makamo rais.

Victor Robert Wile, amezungumza na mchambuzi wa siasa za Uganda, Aida Mutenyo, kuelewa uteuzi huu.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI