Wimbi la Siasa - Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na viongozi wa upinzani - a podcast by RFI

from 2021-05-01T11:19:06

:: ::


Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameahidi kukutana na viongozi wa upinzani na kujadiliana nao kuhusu mustakabali wa kisiasa nchini humo baada ya baadhi yao kukimbia nchi na wengine kulalamikia kuminywa kwa misingi ya demokrasia. Je, itakuwaje ? Tunajadili

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI