Wimbi la Siasa - Tume huru ya Uchaguzi Kenya na mchakato wa kutangaza matokeo - a podcast by RFI

from 2017-08-22T13:23:45

:: ::


Uchaguzi wa Kenya unakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo mchakato wa kutangaza matokeo huku Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya, IEBC ikijinadi kuwa ina mamlaka ya kutangaza matokeo ya mwisho licha ya matokeo kutangazwa katika vituo na majimbo ya kupigia kura. Unajua ni kwa nini IEBC inatoa msimammo huo? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kujua kwa undani.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI