Wimbi la Siasa - Uchaguzi Mkuu wa DRC wahairishwa - a podcast by RFI

from 2018-12-21T08:57:16

:: ::


Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo uliokuwa umepangwa kufanyika tarehe 23 mwezi Desemba, sasa umeahirishwa hadi tarehe 30 baada ya kuteketea kwa ghala la kuhifadhi vifaa vya kupigia kura jijini Kinshasa.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI