Wimbi la Siasa - Ziara ya Rais Salva Kiir nchini Sudani na changamoto za mgogoro wa kisiasa - a podcast by RFI

from 2017-11-10T11:22:15

:: ::


Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir hivi karibuni alifanya ziara nchini Sudan Kharthoum na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Omar Al Bashir wakilenga kuimarisha uhusiano na kuondoa hali ya wasiwasi baina ya pande hizo mbili kutokana na kushutumiana mara kwa mara kila upande ukilaumu upande mwingine kwa kusaidia waasi. Ziara hiyo inaweza kuwa mwarobaini wa mgogoro wa Sudani Kusini? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala haya ya Wimbi la Siasa kujua mustakabali wa Sudani Kusini.

Further episodes of Wimbi la Siasa

Further podcasts by RFI

Website of RFI